# Ramesi Ramesi ulikuwa mji mkuu sana Misri ambapo mbegu zilihifadhiwa. # Walikuwa na idadi ya wanaume 600,000 "Idadi ya jumla ya wanaume ilikuwa 600,000" # waliondolewa Misri Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.