# atapita mlango wako Hapa neno "mlango" una maana ya nyumba nzima. Hii ina maana kwamba Mungu ata wanusuru Waisraeli wenye damu mlangoni.