# wachukuwa wale nzige "kuwapeleka nzige juu" # Yahweh aliufanya moyo wa Farao mgumu Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumzwa hapa kama moyo wake mgumu.