# kwako wewe Hii ina maana kuwa ata Farao ata umizwa kwa mapigo. # Nitafanya hivi ili ujue Neno "hivi" la husu mapigo ambayo Musa alimwambia Farao kuhusu.