# Moyo wa Farao ni mgumu Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi ya zungumziwa kama moyo wake ulikuwa mgumu. # anapoenda kwenye maji Maana kamili ya sentesi yaweza fanya halisi.