# malaika wa Yahweh Huyu alikuwa Yahweh mwenyewe aliyekuwa anajitokeza kama malaika, na sio kama malaika Yahweh aliye mtuma. # Yahweh Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wake wa Agano la Kale. # Tazama Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Musa aliona kitu kilicho kuwa cha tofauti na alicho tegemea.