# amrisha, kuamrisha, amri Neno "kuamrisha" maana yake kumuagiza mtu kufanya kitu. "Amuru" au "amri" ni kile ambacho mtu aliagizwa kufanya. # Myahudi, Uyahudi, Wayahudi Wayahudi ni watuambao ni uzao wa mjukuu wa Abrahamu, Yakobo. Neno "Myahudi" linatokana na neno "Yuda."