# Hamani mwana wa Hammedatha Mwagagi Hili ni jina na wadhifu wa Hamani, mmoja wa wasimamizi wa mfalme. # aliweka kiti chake cha mamlaka "alipandisha cheo" # walijinyenyekezea kwa Hamani "Walijinyenyekeza na kulala kifudifudi juu ya ardhi mbele ya Hamani"