# mara ya pili "mara moja zaidi" au"muda mwingine" # alimuelekeza "alimwambia" # Bigthani na Tereshi Haya yalikuwa majina ya walinzi wawili waliolinda ikulu.