# Majimbo Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1. # haremu "mahali ambapo wake wa watawala wanatunzwa" # ikulu Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:5. # Sushani Tumia neno lile lile lililotumika katika 1:1. # Hegai (Tazama: tafsiri majina) # vipodozi vyao "Kipodozi" in kitu kama kirimu, losheni, au poda ambayo mara nyingi wanawake ujipaka katika uso au mwili ili kupendezesha muonekano wao.