# Katika siku za Ahasuero "Katika wakati wa Ahasuero" au "wakati Ahasuero alipokuwa akitawala kama mfalme." # 127 (Tazama: tafsiri nambari) # majimbo "Jimbo" ni sehemu kubwa ambayo katika hiyo baadhi ya nchi zimegawanywa kwa makusudi ya serikali. # Ngome Ngome, boma au kambi iliyoimarishwa. # Shushani Mji wa utawala wa wafalme wa Uajemi.