# mambo yangu "Yaliyonipata" au "Hali yangu" # Tikiko Tikiko alikuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakitumika na Paulo. # atawajulisha kila kitu "Atawaambia kila kitu"