# urithi Kupokea kile Mungu alicho ahidi waamini ni mfano wa mtu kurithi mahali au utajiri kwa familia. # matupu "Msiruhusu mtu yeyote awadanganye kwa hoja za uongo" au "Msiruhusu mtu yeyote awakoseshe ninyi kwa maneno yasiyokuwa na maana"