# sentensi unganishi Paulo anamaliza maelekezo ya kuhusu yapi waamini wasifanye na anamaliza na yapi wafanye. # lazima muweke mbali tafsiri zilizopo ni 1) lazima ufanye mwenyewe au 2) "lazima umuruhusu Mungu aondoe" # weka mbali uchungu wote "acha kuwa na hasira ya mambo mabaya watu walio kufanyia" # ghadhabu wakati wa hasira nzito # hasira neno lililo zoeleka la hasira # mwe na huruma " badala yake, lazima uwe na huruma # msameheane "upole" au "huruma sana"