# Watu wa mataifa ni warithi wenzake ... kwa njia ya Injili Huu ni ukweli ulio fichika Paulo anaanza kuelezea katika mstari uliopita. Watu wa mataifa waliompokea Kristo pia watapokea urithi kama kama waumini wa Kiyahudi. # wanachama wenzake wa mwili Kanisa ni mara nyingi hujulikana kama mwili wa Kristo. # katika Kristo Yesu "Katika Kristo Yesu" na maneno kama ni mafumbo ambayo mara nyingi yametokea katika Agano Jipya. Yanaelezeamahusiano ya nguvu inawezekana kati ya Kristo na walio amini katika Yeye. # Kupitia Injili Maana inawezekana ni 1) kwa sababu ya Injili watu wa mataifa ni washiriki wengine wa ahadi au 2) kwa sababu ya Injili watu wa mataifa ni warithi na viungo vya mwili na washirika wenzake katika ahadi.