# Sentensi unganishi Paulo anaomba kwa ajili ya waamini wa Efeso na anamsifu Mungu kwa ajili ya nguvu waliyo nayo kupitia Kristo. # Sijaacha kumsifu Mungu Paulo anatumia "sijaacha" kusisitiza kuwa anaendelea kumsifu Mungu. "Naendelea kumshukuru Mungu"