# kwa kadiri ya alivyo pendezwa Yamkini tafsiri zilizopo ni 1) "sababu alitaka kutufahamisha" au 2) " ndivyo alivyo taka" # na aliyo ionyesha katika Kristo "na alionyesha kusudi hili ndani ya Kristo # katika Kristo "kwa njia ya Kristo" # kwa lengo la kuwa na mpango Sentensi mpya ya weza anza hapa. " Alifanya hivi kwa lengo la kuwa na mpango" au "Alifanya hivi, akifikiria kuhusu mpango. # kwa wakati timilifu "Kwa kuwa wakati ukiwa mwafaka" au "kwa wakati aliyo uteuwa"