# wametoka katika hali ya unyofu wakitafuta magumu mengi Maana zinazowezekana ni 1) "wamefanya mipango mingi ya dhambi" au 2) "wamefanya maisha yao wenyewe kuwa magumu." # wametoka Hapa waliotoka ni wanadamu.