# Nenda kule usikilize Ni muhimu zaidi kwenda hekaluni kusikiliza na na kujifunza sheria ya Mungu ili kumtii Mungu kuliko kutoa sadaka lakini kuendelea kutenda dhambi dhidi ya Mungu.