# Taarifa ya Jumla: Badala ya kuchagua vijana wenye hekima, watu wanamchagua mwana wa mfalme ambaye anaweza asiwe na hekima zaidi. # hai na kuzunguka Maneno "hai" na "kuzunguka" yanamaanisha kitu kimoja na yamewekwa pamoja kwa ajili ya msisitizo. # Hakuna mwisho kwa watu wote "Kuna watu wengi sana" # mvuke na kujaribu kuuchunga upepo Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.