# kazi zote zilizofanyika "kazi zote ambazo watu hufanya" # mvuke na kujaribu kuuchunga upepo Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.