# nimetia moyo wangu "Nikusudia" au "Niliamua" # upumbavu na ujinga Maneno "upumbavu" na "ujinga" yana maana ya kufanana na zinamaanisha kufikiri kwa kijinga na matendo. # kujaribu kuuchunga upepo Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.