# Habari ya jumla Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja/ # lakini utakusanya mbegu chache "lakini utavuna chakula kidogo sana"