# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja. # Mtakapovuka ... yapangane ... ninayowaamuru Musa anawataarifu Waisraeli kama kundi, kwa hiyo sehemu za "wako" na amri "yapangane" ni katika wingi. # myapige kwa lipu "sambaza lipu juu yao" au "zitengeneze ili kwamba uweze kuandika juu yao" # mlima wa Ebali Huu ni mlima karibu na Shekemu. # hautakiwi kuinua chombo cha chuma kujenga mawe Hii ina maana ya patasi ambayo zingetengeneza mawe kuwa laini, ili yaweze kutosha pamoja vizuri zaidi. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hautachonga mawe ya madhabahu kwa vifaa vya chuma"