# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja. # Babu yangu alikuwa Mwaremi mzururaji Huu ni mwanzo wa kauli ya kwamba mwanamume wa Kiisraeli anatakiwa kutengeneza anapoleta kikapu chake. # Mwaremi mzururaji Hii ina maana ya Yakobo, ambaye alikuwa baba wa Waisraeli wote. Aliishi miaka mingi katika Aramu-Nahairamu, eneo lililopo Shamu. # na kukaa kule "na kuishi maisha yake yote kule" # Kule akawa Neno "akawa" ni lugha nyingine kwa ajili ya "uzao wa Yakobo" # kubwa, lenye nguvu Maneno haya kimsingi yana maana moja. Yanasisitiza ya kwamba Israeli ikawa taifa kubwa na lenye nguvu. "kubwa sana"