# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno ya "wako" na "yako" hapa ni katika umoja. # hakumsikiliza Hii ni lahaja. "hakuwa msikivu" # aligeuza laana kuwa baraka "akamfanya ambariki na kutokulaani" # Hamtakiwi kutafuta amani au mafanikio yao Maana zaweza kuwa 1) "Haupaswi kufanya makubaliano ya amani na Waamori na Wamoabu" au 2) "Haupaswi kufanya jambo lolote kusababisha masuala kwenda vizuri kwa yale makundi mawili ya watu kuwawezesha wafanikiwe" # katika siku zenu zote Hii ni lahaja. "ikiwa bado wewe ni taifa"