# wadogo "watoto" # na nyara zake zote "na vitu vyote vya thamani" # mateka Hivi ni vitu vya thamani ambavyo watu wanaoshinda vita huchukua kutoka kwa watu waliowashambulia. # miji yote Hapa "miji" inawakilisha watu. "watu wote wanaoishi katika miji"