# hakuna masikini Kitenzi cha jina "masikini" kinaweza kutajwa kama kitenzi. "hakuna watu masikini" au "hakuna mmoja ambaye ni masikini" # ardhi ambayo ametoa Hii urejea kwa nchi ya Kanani. # anawapa ninyi kama urithi wa kumiliki Nchi ambayo Yahwe anawapa watu wake husemwa kama ilikuwa ni urithi ambao Yahwe anawapa. # kama peke kwa bidii unasikiliza sauti ya Yahwe Mungu wako Hapa maneno "sauti ya Yahwe" urejea kwa kile Yahwe mwenyewe asema. "kama peke unakuwa mwangalifu kutii kile Yahwe Mungu wako anasema" # utakopesha mikopo...huwezi kukopa Neno "pesa" linaeleweka. Unaweza kufanya maana kamili ya maelezo haya wazi. # kwa mataifa mengi...juu ya mataifa mengi Hapa "mataifa" uwakilisha watu. "kwa watu wa mataifa mengi...juu ya watu wa mataifa mengi" # utaongoza juu ya mataifa mengi, lakini hawatawaongoza juu yenu Hapa "juu yenu" umaanisha kuwa mkuu wa kifedha. Hii umaanisha kimsingi kitu kile kama sehemu ya awali ya sentensi.