# Habari ya jumla Musa bado anazungumza na watu wa Israeli. # utavunja madhabahu zao "lazima uondoe madhabahu ya mataifa hayo" au lazima uharibu madhabahu ya mataifa hayo" # vunja katika vipande vipande "vunja vipande vipande au kupasua" # utakata chini "unapaswa kukata" # haribu majina yao Hapa "majina yao" uwakilisha "kumbukumbu zao. # mahali hapo Hii urejea kwa kila eneo ambapo mataifa waliabudu miungu mingine. # Hutamwabudu Yahwe Mungu wako kama hivyo "Haupaswi kumwabudu Yahwe Mungu wako kama vile haya matiafa mengine waliabudu miungu yao"