# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani # Taberah...Massah...Kibrothi...Hattaavah Haya ni majina ya maeneo ambayo watu wa Israeli walipita wakati wakiwa jangwani. # Nenda juu Walikuwa kwenye nchi ya chini, na nchi Yahwe alikuwa amekwisha waambia kuichukua ilikuwa kwenye mlima, kwa hiyo walipaswa kwenda juu ya mlima kuichukua. # waliasi dhidi ya amri Neno "amri" ni mbadala wa Yahwe mwenyewe. "Mliasi dhidi ya Yahwe; hamkutii amri" # sikiliza sauti yake Hapa "sauti yake" ina maana kile Mungu alikwisha sema. # kutoka siku ambayo nilikujua "kutoka muda nilianza kukuongoza wewe." Tofasiri zingine usoma "kutoka siku ambayo nilikujua wewe," siku ambayo Yahwe kwanza aliwajua.