# Hii ni sheria Hii inarejea kwa sheria za Musa zitakazotelewa katika sura zifuatazo. # Beth Peori Hili ni jina la mji huko Moabu karibu na mlima Pisgah. # Sihoni...Amorites... Heshboni "Mfalme Sihoni...watu wa Amorite...mji wa Heshboni."