# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli nini kilitokea kwao jangwani. # 'Sasa inuka...Zeredi! hivyo "Kisha Yahwe alisema, "Sasa inuka...Zeredi! hivyo" Hii inaweza kutofasiriwa kama nukuu ambayo siyo ya moja kwa moja. Kisha Yahwe alituambia kuinuka...Zeredi. Hivyo" # inuka anza kufanya jambo fulani # kijito cha Zeredi Mkondo huu utiririka kuelekea bahari iliyokufa kutoka kusini mashariki na utengeneza mpaka kati ya Edomu na Moabu. # Sasa siku Neno "sasa" uweka alama ya badiliko kutoka hadithi kwenda taarifa ya nyuma kuhusu namna ya umbali wa watu wa Israel walivyotembea na kuhusu hasira ya Mungu kwa kizazi hicho. Kama lugha yenu ina njia ya kuonesha kwamba kile kifuatacho ni taarifa ya nyuma, unapaswa kuitumia hapa. # miaka thelasini na nane miaka minane""- miaka 38 # walikwisha enda kutoka kwa watu Hii ni njia ya kusema kwa upole "amekwisha kufa." # mkono wa Yahwe ulikuwa kinyume Hapa "mkono wa Yahwe" urejea kwa nguvu ya Yahwe. "Yahwe alitumia nguvu zake kinyume" au Yahwe aliadhibu