# Taarifa ya ujumla Huu ni mwisho wa sehemu wa hotuba ya Musa akiwakumbusha wanaisraeli kwa namna Yahwe alivyowaongoza jangwani. # Usiwasumbue Moabu Neno "Moabu" ni neno lenye maana sawa na watu wa Moabu. # Ar Hili ni jina la mji huko Moabu # uzao wa Lutu Watu wa Israel walihusiana na uzao wa Maobu. Maobu alikuwa mtoto wa Lutu. Lutu alikuwa mpwa wa Abrahamu