# Maelezo ya jumla Malaika anaendelea kuongea na Danieli # tawi kutoka katika mizizi Familia inaongelea kana kwamba ni mti. Mizizi inawakilisha mababu, na matawi yanawakilisha wazawa. # mizizi yake Neno "yake" inarejelea kwa binti wa mfalme wa Kusini katika 11:5 # Atalishambulia jeshi Kiwakilishi "a" kinarejelea uzao wake, na hapa pia inawakilisha jeshi lake. # Atapigana nao Mahali hapa neno "nao" inawakilisha wanajeshi wa jeshi la adui. # lakini atajitoa Kiambishi 'a' kinamrejelea mfalme wa Kaskazini.