# mkono wenye nguvu Mahali "mkono wenye nguvu" una maana ya "nguvu" # umejifanyia jina maarufu kwa ajli yako mwenyewe, hata siku hii ya leo "umewafanya watu kujua jinsi ulivyo mkuu, kama vile ulivyo hata leo" # Lakini bado tumekutenda dhambi; tumefanya mambo ya hila Vishazi hivi viwili kimsingi vinamaanisha kitu kimoja na vimetumika kwa pamioja kwa ajili ya kutia mkazo juu ya dhambi ilivyo mbaya. # tumekutenda dhambi; tumefanya mambo ya hila Danieli na Waisraeli walitenda dhambi na kufanya mambo mabaya, lakini kiwakilishi "tu"hakimjumuishi Mungu. # hasira na ghadhabu yako Maneno " hasira na ghadhabu" yana maana moja na yametumika hapa kwa ajili ya kutia mkazo juu ya hasira ya Mungu ni ya hatari inapotenda kazi" # Mlima wako mtakatifu Mlima huu waweza kuwa mtakatifu kwasababu Hekalu la Mungu liko pale. "Mlima ambako hekalu lako takatifu liko" # dhambi zetu....baba zetu Mahali hapa neno "zetu" linamrejelea Danieli na Israeli, lakini si kwa Mungu. # kitu cha kudharauliwa "lengo la kutoheshimiwa"