# mtakatifu mmoja "malaika" # ukabidhiajia wa sehemu takatifu "kutiisha sehemu takatifu" # jeshi la mbinguni kukanyagwa Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "pembe ilikanyaga juu ya jeshi la mbinguni" # jioni na asubuhi zipatazo 2,300 Mahali hapa maneno "jioni na asubuhi" yanarejelea kila kitu kilicho katikati yake, iliyo na maana ya siku kamili. # mahali patakatifu patawekwa sawa. "hekalu litasafishwa na kuwekwa katika utaratibu tena. "