# mfalme aishi milele Hii ilikuwa na salamu ya kawaida kwa mfalme # auti ya pembe, filimbi, ala za muziki, zeze, vinubi na zumari, na aina zote za muziki, Angalia ulivyotafsiri orodha hii katika 3:3 # kuanguka na kuisujudia sanamu ya dhahabu. Haya ni matendo ya kuabudu.