# Maelezo ya jumla Daniel anaendelea kuongea na mfalme # kilikuwa kimetengenezwa kwa dhahabu safi "kilikuwa cha dhahabu safi" au "ilikuwa dhahabu nzuri" # sehemu chuma na sehemu kwa udongo "ilikuwa kwa sehemu chuma na sehemu nyingine udongo"