# Sentensi Unganishi: Paulo anafunga barua yake kwa salamu zilizoandikwa kwa mkono yake mwenyewe. # Kumbuka minyororo yangu Paulo anapozungumzia minyororo anamaanisha alipokuwa gerezani. "Nikumbukeni na kuomba kwa ajili yangu wakati nipo gerezani" # Neema na iwe nanyi Hapa neno "neema" linasimama badala ya Mungu, ambaye huonyesha neema kwa waamini. "Naomba kwamba Bwana wetu Yesu Kristo aendelee kutoa neema kwenu nyote.