# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kuwaambia waumini jinsi ya kuishi na anawakumbusha kwamba Kristo alifuta kuta ambazo zingekuwepo kati ya Wamataifa na Wayahudi, watumwa na walio huru. # mmeuvua mballi utu wenu wa kale wenyewe pamoja na matendo yake, na mmevaa utu wenu mpya. Fumbo hili linajenga wakristo ambao wanapaswa kuondoa matendo yasiyo ya kimungu na kuanza kutenda kimungu kwa mtu ambaye anaondoa mavazi machafu na kuvaa mavazi mapya yaliyo safi. # picha yake Hili linamzungumzia Yesu Kristo # hakuna mgriki au myahudi, kutahiriwa au kutokutahiliwa, msomi, asiye msomi, mtumwa, asiye mtumwa Hii ni kusema kwamba Mungu anamuona kwa sura ileil, sio kwa jamii, dini, utaifa, au tabaka (hai ya kijamii). " jamii, dini, tamaduni, na hali ya ekijamii # mtu wa Scythia huyu ni mgeni ambaye hajui mila za mahala pale # asiyesoma Huyu ni mtu kutoka nchi ya Scythia, ambayo ilikuwa nje ya himaya ya Rumi. Wagiriki na Warumi walitumia hili neno kwa mtu aliyekulia katika sehemu ambayo kila mmoja alifanya mambo maovu mda wote. # Kristo ni vitu vyote, na katika vyote hakuna kilicho tenganishwa au kuachwa kwenye uwepo wa Kristo. "Kristo ni wa muhimu kwa watu wake wote."