# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea kuwatia moyo walioamini katika Kolosai na Laodekia wapate kuelewa kuwa Kristo ni Mungu na anaishi ndani ya walioamini ili wapate kuishi sawasawa na walivyompokea. # Ni mapambano ya jinsi gani niliyopitia kwa ajili yenu Paulo amefanya bidii nyingi katika kuendeleza usafi wao na uelewa wa injili. # Wale waliopo Laodekia Huu ulikuwa mji karibu sana na Kolosai ambamo pia kulikuwa na kanisa ambalo Paulo alikuwa akiliombea. # kama ambavyo wengi hawajaniona uso wangu katika mwili "wengi ambao mimi binafsi sijawaona" au "wengi ambao sijaonana nao uso kwa uso" # kwamba mioyo yao "kwamba mioyo ya wote walioamini ambao hawakuwa wamemuona Paulo" # walioletwa pamoja waliowekwa pamoja katika ushirika halisi wa karibu # utajiri wote wa uhakika kamili wa maarifa Paulo nazungumza na mtu anauhakika kamili kwamba habari njema ni kweli ingawa huyo mtu alikuwa tajiri katika mwili huu. # siri ya Mungu ya kweli ya Mungu Huu ufahamu ambao unaweza kufunuliwa na Mungu peke yake. # ambaye ni, Kristi Yesu Kristo ndiye siri ya kweli iliyofunuliwa na Mungu. # Katika yeye hazina za hekima na maarifa zilizofichika Kristo pekee ndiye awezaye kufunua hekima ya kweli ya Mungu na maarifa. "Mungu ameficha hazina zote za hekima na maarifa katika Kristo" # hazina ya hekima na ufahamu Kimsingi Paulo anazungumzia hekima na maarifa ya Mungu kana kwamba vilikuwa malighafi ya utajiri. # hekima na ujuzi Kimsingi haya maneno hapa haya maneno yanamaanisha vitu viwili. Paulo ametumia yote pomaja kusisitiza kwamba ufahamu wote wa kiroho unatokana na Kristo.