# tunayemtangaza...tunamwonya...tunamfundisha...tunaweza kumleta Haya maneno hayawajumuishi Wakolosai. # tunamwonya kila mtu "Tunamwonya kila mmoja" # Kwamba tumfikishe kwa Mungu kila mmoja "kwamba tumfikishe kwa Mungu kila mmja" # Kikamilifu "Wazima Kiroho"