# Sentensi Unganishi: Paulo anazungumzia kuhusu njia katika Kristo ni nzuri. # Ameokoa "Mungu Baba amekwisha kuokoa" # katika utawala wa giza Giza ni picha ya kawaida kwenye maandiko kwa uovu. "nguvu ya uovu" # Mwanae mpendwa "Mungu ni Baba wa mwana mpendwa, Yesu Kristo" # Katika mwanae tuna ukombozi mara nyingi Paulo anawaongelea waamini wapi "katika" Yesu Krsto au "katika" Mungu. "Mwanae ametukomboa sisi" # Msamaha wa dhambi "Mwanae ametusamehe dhambi" au "Baba