# Tunawaombea Neno 'sisi' linaonyesha Paulo naTimotheo lakini si Wakolosai # katika uvumilivu na ustahivu Paulo anawazungumzia waamini Wakolosai kana kwamba Mungu atawahamishia eneo la uvumilivu. Katika uhalisia, anaomba kwamba hataacha kumwamini Mungu na kwamba watakuwa wavumilivu kikamilifu kadiri waendeleavyo kumhesimu. # aliyewafanya muweze kuwa na sehemu "amewaruhusu kuwa na sehemu" # mmestahilishwa Hapa Paulo analenga kwa wasomaji wake kama wapokeaji wa baraka za Mungu.Hamanishi kuwa yeye mwenyewe hana ushirika katikabaraka zile. # Kwa ushirikakatika urithi Kupokea ambacho Mungu amewaahidi waamini kinazungumziwa kana kwamba kulikuwa na kitu cha kurithi na wanafamilia kurithishwa. # Katika Mwanga "Kaika utukufu wa uwepo wake"