# hema...matawi...magofu Baada ya Yahwe kuuharibu ufalme wa Israeli, itakuwa kama hema ambazo nguzo zake za miti zimevunjika, ule ukuta uliokuwa umeanguka chini katika sehemu hiyo hiyo, na ile nyumba iliyokuwa imeangushwa chini. # matawi sehemu za ukuta ambazo zimeanguka # magofu kile kinachosalia wakati jengo limeharibiwa # mabaki ya Edomu vyovyote kile ambacho Israeli haijatakiwa katika mkoa au watu wa Edomu.