# Tazama Mwandishi anamwambia msomaji kwamba jambo la kushangaza linalotaka kutokea. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kufanya hivi. # Je! Yakobo ataishije? "Yakobo hataokoka hakika!" au "Tafadhali mwambie Yakobo kwamba anahitaji kufanya hivyo aweze kuishi!"