# Tazama...tazama Mwandishi anawaambia wasomaji kwamba anataka kusema jambo la kushangaza. Lugha yako yaweza kuwa na njia ya kufanya hivi. # Je! Yakobo ataokokaje? "Yakobo hawezi kuokoka"