# wanatunga juu vyombo Maana ziwezekanazo: 1) wametunga nyimbo mpya na njia ya kucheza vyombe au 2) wametunga ala mpya. # bakuli bakuli zilitumika katika huduma za hekalu, kubwa kuliko zile zilizotumika kwa mtu katika mlo # hawahuzuniki "hajisikii huzuni na kutenda kama kupitia yule aliyependwa aliyekufa"