# asemavyo Bwana Yahwe Bwana Mungu Yahwe anazungumza. # pembe za madhabahu Hizi zinaonekana kama pembe za ng'ombe zikitoka kutoka ambapo pande zote kuja pamoja kwa juu na zilikuwa alama kuonyesha jinsi mungu alivyokuwa hodari.