# alitenga siku kwa ajili yake alichagua siku kwa ajili yake kuongea naye # alishuhudia kuhusu ufalme wa Mungu ufalme wa Mungu hapa unamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme